Skip to main content

LIJUE TATIZO LA KUKOSA CHOO

JE UNALIJUAA TATIZO LA KUKOSA CHOO
Tatizo la kukosa choo (CONSTIPATION) ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi leo ktk dunia, watu wamekuwa wakiteseka bila kujua nini chanzo cha tatizo hili na vipi kuliondoa tatizo hili na wengine wamekuwa wakilipuuzia bila kujua madhara ambayo wanaweza kuyapata kutokana na tatizo hili.Tatizo hili.Tatizo hili hutokea pale mtu anakula vizuri lakini unakata anakaa siku tatu hadi nne bila kupata choo ukiona unakula kutwa mara tatu na unakaa siku mbili hadi tatu huendi chooni au unatoa choo kigumu kama mbuzi hilo ni tatizo kwako.Tafiti zinaonyesha mtu anaweza kupoteza maisha kama atakosa choo kwa siku tano hadi saba mfululizo.Watu wengi hulidharau tatizo hili lakini linamadhara makubwa tofauti na wanavyofikiria.

Image result for constipation

SABABU ZA KUKOSA CHOO (CONSTIPATION)
a) Kupenda kula saana vyakula vilivyokobolewa (mfano ugali wa sembe,mikate n.k)
b) Ukosefu wa mbogamboga za majani na matunda ya faiba kama machungwa,ukosefu wa kula mboga za majani na matunda hasa ya faiba kama machungwa huongeza tatizo hili.kila mtu anatakiwa kula matunda aina mbili na mboga za majani aina mbili kila siku,
c)Matumizi makubwa ya pombe na sigara
d) Unywaji mdogo wa maji.kila mtu anapaswa kunywa maji kwa kiwango cha chini lita 3 kila siku na usinywe maji wakati unakula,kunywa maji nusu saa kabla au baada ya kula.
e) Matumizi mabaya ya madawa.mfano dawa za presha,aleji n,k
f)Kuugua kisukari au ugonjwa wa misuli
g) Kansa ya utumbo mpana

MADHARA YATOKANAYO NA KUKOSA CHOO (CONSTIPATION)
a) Unaweza kuugua saratani ya utumbo mpana
b) Unaweza kupata tatizo la tumbo kujaa gesi
c) Figo yako inaweza isifanye kazi vizuri ikafelid
d) Unawezasababisha magonjwa ya moyo
e) Unaweza pata tatizo la kukakamaa mishipa ya damu ambapo f) utasababisha miguu kuwaka moto na ganzi miguuni au mikononi.
g) Unawezasababisha magonjwa ya ini
h) Unawezapata kisukari
i) Unawezapata presha
Wahi sasa mapema tatizo hilo linatibika na unapona kabisa ukikaa nalo linaweza kukusababishia matatizo makubwa kwenye afya.
Wasiliana nami .
BIDHAA  ZITAKUFIKIA POPOTE ULIPO UNAWEZA TUMA SMS MOJA KWA MOJA
CALL. +255621746838
TEXT/WHATSAPP. +255767962720

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MWANAMKE KIUNDANI NA ANACHOKIPENDA

Katika mapenzi wanawake wanapenda ufanye kile wanachokitaka japo ni vigumu kujua mwanamke anapenda nini. Kwa hiyo kama ni vigumu kujua kitu gani anapenda basi ni vizuri kuwa makini na kugundua ni kitu gani hapendi ili usimfanyie ambacho hapendi na ufanye anachopenda. Japokuwa si wanawake wote wanaweza kukwambia ni nini hasa kinawauzi, kuogopa kukuudhi, hivyo inawafanya wapate shida sana na kuweka maisha yao yawe magumu.  Kwa sababu hiyo wewe kama mwanaume unapaswa kuwa makini  na matendo yao ili kujua tofauti ya vitu ambavyo hawapendi na vile vinavyowapa furaha. Kisha fanye vile wanavyovipenda. Hiki ni kimojawapo Hupendela tendo la ndoa lidumu muda mrefu. Wanawake hupenda tendo la ndoa lidumu walau kwa dakika mbili. Na wanatamani ikiwezekana hata ikibidi ifanyike siku nzima. Sio muda tuu ndio muhimu bali hata kile unachofanya. Wanaume wengi kujali kujizuia, ilimradi wakae muda mrefu katika tendo, lakini kutokana na tafiti hili sio sababu, wanawake wengi hupenda zaidi...

Je unajua kuwa Ndoa Imara Huweza Kutibu Hata Kansa:

Maradhi ya kansa yamekuwa yakiwasumbua watu wengi sana kwa nyakati za hivi karibuni. Hata hivyo kuna aina nyingi za kansa, mojawapo ni ile ya kibofu cha mkojo. Kulingana na utafiti mmoja uliofanywa nchini marekani, imeonesha kwamba, msaada wa karibu unaotolewa na wanandoa kwa wanandoa wenzao ambao, wameathirika na ugonjwa wa kansa ya kibofu cha mkojo, ni aina mojawapo ya tiba inayoweza kuwafanya wagonjwa hao wajisikie vizuri na kuishi kwa muda mrefu. Utafiti huo ulionyesha kwamba, watu wanaougua ugonjwa huo ambao wako kwenye ndoa, wana nafasi kubwa ya kuishi muda mrefu zaidi ukilinganisha na wenzao ambao hawajaoa au kuolewa. Hali hii haichagui umri, rangi au hata kiwango cha athari ya ugonjwwa wenyewe. Ndoa Imara Huweza Kutibu Hata Kansa. Vilevile, tafiti mbalimbali za huko nyuma ziliwahi kuonesha kwamba, ndoa bora na imara zina uwezo wa kuwaongezea ahueni wanandoa wanaougua maradhi ya kansa ya matiti na ile ya mkojo. Watafiti hao walizidi kusema kwamba utafiti huo mpya unaweza ...

VYAKULA MUHIMU ZAIDI KWA MAMA MJAMZITO

LISHE BORA WAKATI WA UJAUZITO NI MUHIMU SANA, KWANI LISHE HII HUTUMIKA KWA MAMA NA MTOTO ANAENDELEA KUKUA TUMBONI. KWA KAWAIDA MAHITAJI YA CHAKULA NA VIRUTUBISHO MWILINI MWA MWANAMKE HUONGEZEKA WAKATI WA UJAUZITO NA KADRI UJAUZITO UNAVYOENDELEA KUKUA, VIRUTUBISHO HIVYO HUTUMIKA KUJENGA MWILI WA MAMA NA MTOTO. HIVYO MAAMUZI YA LISHE AU LISHE MAMA ANAYOPATA HUATHIRI PIA MAENDELEO YA MTOTO ANAYEKUA MWILINI MWAKE. TUTAONA VYAKULA MUHIMU VYA KUZINGATIA LISHE BORA WAKATI WA UJAUZITO NA BAADHI YA VITU VYA KUKWEPA. Mama mjazito akipata mlo wenye mboga za majani Mlo kamili (balanced diet), ni muhimu kwa ajili ya maendeleo mazuri ya afya ya mjamzito na mtoto tumboni. Pamoja na mlo kamili mjamzito hupewa virutubisho ziada (supplements) kwa ajili ya kuongeza madini kama ya chuma na Foliki. Mlo kamili unajumuisha vyakula vya wanga, protini, mafuta, vitamini, madini na maji kama inavyochambuliwa hapa chini; Nafaka na Vyakula vya Wanga. Vyakula hivi huupa mwili nguvu za kufanya kazi iki...